MKOA WA IRINGA WATIKISWA KATIKA PASAKA 2013 NA UIMBAJI WA ROSE MUHANDO
Rose Muhando alikuwa gumzo mjini Iringa kwa uimbaji wake. Mkoa wa Iringa
ulifurahishwa na huduma ya mwimbaji huyu. Watu walifurika uwanjani
mapema kuangalia kitimutimu cha waimbaji wa nyimbo za injili akiwemo
Malkia wa Muziki wa Injili Tanzania Rose Muhando.
No comments:
Post a Comment