1.SIKU YA JUMAPILI IBADA YA KWANZA KATIKA KANISA LA JCMI LILILOPO LEVOLOS INAANZA SA 07:30 ASUBUHI MPAKA SAA 10:30.
>> IBADA YA PILI NI SAA 10:30 MPAKA SAA 12:00
2.KATIKA KANISA JCMI LILILOPO KWAMOROMBO MWISHO WA HIACE IBADA ZAKE ZITAANZA MDA SAWA NA ZILE ZA JCMI LEVOLOS.
NA SIKU ZA WIKI JUMATATU MPAKA JUMAMOSI HUDUMA ZA MAOMBEZI,USHAURI ZITAANZA KUANZIA SAA 08:00 ASUBUHI MPAKA SAA 06:00 JIONI.
3.ASKOFU NA WACHUNGAJI WA JCMI WATAFUNDISHA NENO LA MUNGU PAMOJA NA HUDUMA ZA MAOMBEZI ILI UWEZE KUKOMBOLEWA,
4,KUPITIA HUDUMA HII WATU WANAPONYWA MAGONJWA YALIYOSHINDIKANA,WATU WANAINULIWA KIUCHUMI, KUJUA NENO LA MUNGU
KARIBU JCMI CHURCH ILI KUPATA JIBU LA MAISHA YAKO,
No comments:
Post a Comment