Tuesday, 12 August 2014

MFALME EDWARD ATANGAZA SIKU 10 ZA UKOMBOZI JIJINI ARUSHA NI KATIKA KANISA LA JCMI MOROMBO KUANZIA AUGUST 13.

MFALME EDWARD
 Mtumishi wa mungu Mfalme Edward ametangaza siku 10 za ukombozi jijini Arusha kwa kutoa semina ya neno la mungu itakayofanyika katika kanisa la JCMI ARUSHA lililopo kwa moromboo mwisho wa hiace kuanzia Tarehe 13/08/2014 mpaka tar 24/08/2014 saa 9 mchana mpaka saa 12..Watu wengi wameponywa kupitia maombia na wamefunguliwa kutoka vifungo mbalimbali
           Askofu wa makanisa ya JCMI ARUSHA  PAUL MACHA(pichani) atakuwepo kukuombea kwenye semina iyo..
                           JIONEE HAPA CHINI USHUHUDA WA WATU WALIOPONYWA


No comments:

Post a Comment