Angalia picha mablimbali za uzinduzi wa album ya malkia wa muziki wa
injili nchini Rose Muhando iitwayo 'Kamata pindo la Yesu' iliyofanyika
jumapili iliyopita katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es
salaam, chini ya Msama Promotions mgeni mwalikwa akiwa waziri mkuu
mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya tatu mheshimiwa
Fredrick Sumaye. Ukitaka kuangalia video za namna uimbaji ulivyokuwa
siku hiyo .
|
Jessica BM na kundi lake wakimsifu Mungu. |
|
Haya sasa mambo yalinoga zaidi kama uonavyo. |