Friday, 14 March 2014

HUYU NDIYE MUIMBAJI ALIYENUSURIKA UPASUAJI KWA KALENDA YA MUNGU


Anastazia Mukabwa katika mojawapo ya matamasha mjini Arusha.
Haya msomaji wetu wa Gospel Kitaa karibu katika kipengele chetu maalumu ''KWA TAARIFA YAKO'' ambacho kinakujia kila siku za alhamisi ndani ya GK kikiwa na lengo la kukupatia habari ambayo iliwahi kutukia lakini yawezekana huijui pia yawezekana ilitukia ukawa unaijua lakini GK ikawa imesahau mahali au kuna sehemu haina usahihi utapata fursa ya kusahihisha kwa kuweka comment yako chini kabisa kwenye habari husika. Karibu

RAIS WA KOREA KASKAZINI AAGIZA WAKRISTO 33 KUNYONGWA


Rais Kim Jong Un wa Korea Kaskazini.©Manlycurls
Wakristo duniani wametakiwa kuomba kwa ajili ya mabadiliko ya ki Mungu katika taifa la Korea Kaskazini ambako Rais wa nchi hiyo Kim Jong Un ameagiza kunyongwa kwa wakristo wapatao 33 wa nchini humo ambao wanadaiwa kupokea msaada wa kuendesha makanisa ya siri kutoka kwa mmisionary wa Korea ya Kusini Kim Jong Wook.

SOMO : KUHARIBU MAZAO YA NDOA ZA KISHETANI / KICHAWI


Tulijifunza wiki iliyopita kwamba kuna majini yanaoa watu kwenye ulimwengu wa roho au ndotoni. Ndoto ni bayana watu wote walioota ndoto zilikuwa kweli. Mfano,
- Yakobo aliota ndota ikawa kweli,
-mfalme aliota ndoto ikawa kweli
- mamajusi wa mashariki waliota ndoto ikawa kweli

NDEGE YA MALAYSIA IPO CHINI YA MAJI BAHARINI WATAIPATA HIVI KARIBUNI,,TB JOSHUA ANENA"

“The plane concerned is deep inside the sea. Some of the particles will be seen on the surface of the sea any moment from now.May their souls rest in peace. We pray the Lord gives the family and loved ones the strength to bear the loss. Our prayer and love are always with them, the nation of Malaysia and other countries who had passengers on this flight.”However,US Counter-terrorism officials now suspect that the plane flew for a total of five hours based on data automatically downloaded and sent back to Rolls Royce - the manufacturers of the Boeing 777's engines.
They are now pursuing the astonishing possibility that the plane and its 239 passengers was diverted to an undisclosed location 'with the intention of using it later of another purpose.The pilot or somebody else turned the planes' transponders off to avoid detection and flew it to another location

KICHANGA CHAFUFUKA DAKIKA 28 BAADA YA KUZALIWA MFU

Kuna msemo unasema, uchungu wa mwana aujuyae mzazi. Hapa pia niseme uchungu wa kujifungua, aujuaye ni mama. Na furaha ya ufufuo anaijua hasa aliyefiwa. Tukio mojawapo lililotokea nchini Canada, ambapo mama wa watoto watatu, alikuwa anatarajia kupata mtoto wake wa nne, binti - lakini hali ikawa tofauti siku hiyo.

Saturday, 8 March 2014

SOMO : WANAUME AU WANAWAKE WA ROHONI (MAJINI MAHABA) NA JINSI YA KUWASHINDA.

Biblia inasema, Wakorintho 6:16;
‘...Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja. 17 Lakini yeye aliyeungwa na Bwana ni roho moja naye..

Wednesday, 5 March 2014

MAKALA: KAMA HUJAFELI BASI HUJAJARIBU, NA USIPOJARIBU HUWEZI KUFANIKIWA


Mgunduzi wa taa, Thomas Edison alijaribu zaidi ya mara 1000 hadi akafanikiwa.
                          Kwa maisha ya hivi sasa, ni habari ya kuchakarika kwa kwenda mbele. Sizungumzii wale wanaojipatia mali kwa njia iliyopinda, mathalani utapeli, wizi, na hata ujambazi wa kalamu na mwili, la hasha. Nazungumzia kuchakarika kwa mtu kudamkia kazi mapema iwezikanavyo, kabla hata ya wengine hawajamaliza ndoto zao.

Tuesday, 4 March 2014

ASKOFU PAULO MACHA AKAMATA VIFAA VINAVYOSADIKIWA KUTUMIWA NA WACHAWI NA KUVITEKETEZA NA MOTO.

 Askofu Macha akiwaonyesha waumini wa kanisa la JCMI  wakati wa ibada  vitu vinavyosadikiwa kua ni vya kichawi vilivyotolewa kwenye nyumba ya mtu(jina tunalihifadhi)na hatimye mtu huyo kuamua kuokoka na kachana na mambo ya kishirikina.

AFUNGULIWA KUTOKA KATIKA UKICHAA BAADA YA MAOMBEZI


Dada huyu alifikishwa katika hospitali mojawapo jijini hapa (jina tunalihifadhi); kwa bahati nzuri katika hospitali hiyo kulikuwa na nesi ambaye ameokoka na yupo Ufufuo na Uzima.

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI ROSE WILLIAMU ATOA USHUHUDA BAADA YA KUPONA UKIMWI.soma hapa kujua zaidi

Mwimbaji wa nyimbo za injili Rose williamu ametoa ushuhuda wa kupona ukimwi  aliokaa nao wa mda mrefu kupitia maombezi ya Askofu wa kanisa la  JCMI Arusha Paulo Macha kumfanyia maombezi na atimaye kupona kabisa virusi vya ukimwi na sasa ni mzima wa afya.