Askofu Macha akiwaonyesha waumini wa kanisa la JCMI wakati wa ibada vitu vinavyosadikiwa kua ni vya kichawi vilivyotolewa kwenye nyumba ya mtu(jina tunalihifadhi)na hatimye mtu huyo kuamua kuokoka na kachana na mambo ya kishirikina.
Askofu Macha akijaribu kuvionyesha vitu ivyo
Baadhi ya vitu vinavyosadikiwa ni vyakishirrikina
Askofu Macha akizidi kuwaonyesha vitu ivyo
No comments:
Post a Comment