Dada huyu alifikishwa katika hospitali mojawapo jijini hapa (jina tunalihifadhi); kwa bahati nzuri katika hospitali hiyo kulikuwa na nesi ambaye ameokoka na yupo Ufufuo na Uzima.
Wakati nesi huyo akiongea naye, aligundua jambo la ajabu kutoka kwa mgonjwa pale alipomuuliza jina lake na huyu dada kujibu "unauliza jina langu au la kiti wangu?" ndipo kwa haraka akaanza kumwombea na kumleta kanisani kufunguliwa.
Baada ya maombezi amekuwa huru; akitoa ushuhuda alisema tatizo hilo lilikuwa likimsumbua kwa muda mrefu. Sasa ameokoka na anampenda Yesu.,,...
No comments:
Post a Comment